Golden glow Turmeric Scrub yetu si scrub tu… ni siri ya ngozi yenye glow ya asili ✨
✔️ Huondoa seli zilizokufa
✔️ Husaidia ngozi kuwa laini na nyororo
✔️ Hutoa mng’ao asilia wa ngozi
✔️ Husaidia kusafisha vinyweleo
✔️ Hupunguza mafuta na uchafu usoni
✔️ Husaidia kufanya ngozi ionekane yenye afya
Jipe muda wa kujipenda na ngozi yako itakushukuru😉
Ngozi laini, yenye mwanga na afya inaanzia hapa ✨Golden glow
🫧 “Scrub kidogo, Mng’ao asilia