Lipia, tuanze kazi. Ramani yako itakua na:- Vyumba vinne vya kulala, Jiko, Stoo, Sebule, na Dining.
Tutakushirikisha kila hatua ya uchoraji ili upate ramani itakayokidhi mahitaji yako. Hii ni sampo tu, kila mteja anachorewa ramani kulingana na mahitaji yake.
Tutakupa faili 3 zilizopigwa muhuri, ambazo utazipeleka manispaa kuomba kibali cha ujenzi.
Ukitaka kuona baadhi ya kazi zetu, bonyeza GALLERY