Nyiee mnaona lakini haya wakaka hii yenu viatu vizur bei kitonga karibuni
Adidas
150000 TZS
Adidas
150000 TZS
Kiatu hicho hapo brand kabsa wanaojua kuhusu hivi viatu mnajua haya karibuni
Elf lip gloss
35000 TZS
Elf lip gloss
35000 TZS
Haya wateja wangu wazur jipatie lip oil nzur inakaa Muda mrefu na kuzipa lips zako Muone Kano wa kishua 💄
Anua korean product
160000 TZS
Anua korean product
160000 TZS
Anua ni product ya korea ni nzur sana jamani , inatoa takataka zote unakua na ngozi kama ya mtoto (glass skin) unapata set nzima kWa laki na sitini (160 )Njoo upate yako sasa.
Bio Oil
70000 TZS
Bio Oil
70000 TZS
Bio Oil ni mafuta ya ngozi yasiyo chubua bali ya kuipa ngozi nuru na kuondoa makunyanzi,Bio oil pia hutumiwa na wamama wajawazito kuondoa michilizi na kuipa ngozi muonekano nadhifu.
Dagaa wa mwanza
27000 TZS
Dagaa wa mwanza
27000 TZS
Tunauza dagaa kutoka mwanza dagaa wazuri na watamu kwa bei nafuu kilo utapata kwa elfu 27000 .
tunapima kuanzia robo na kuendelea.
Delivery kwa dar ,watu walio karibu na maeneo ya msasani ni bure.