Natafuta

Zinazohitajika

Scrub

2500 - 19000000 TZS

Description
External bus stop, Nelson Mandela Road, Dar es Salaam, Tanzania
Scrub

2500 - 19000000 TZS

Description
Mabibo Hostel, Dar es Salaam, Tanzania
Divert

2500 - 19000000 TZS

Description
Arusha, Tanzania
Simu

2500 - 19000000 TZS

Description
Mikese, Tanzania
Popcorn machine

2500 - 19000000 TZS

Description
Geita
Naitaji Tv

2500 - 19000000 TZS

Description
Songea Mjini, Tanzania
Kioo Cha simu

2500 - 19000000 TZS

Description
Bunda, Tanzania
Naitaji simu

2500 - 19000000 TZS

Description
Meko kangaye
Simu

2500 - 19000000 TZS

Description
Mwanza, Mwanza, Tanzania
Nahitaji kiatu

2500 - 19000000 TZS

Description
Mabibo Hostel, Dar es Salaam, Tanzania
Naitaji Ps4 na pad 2...

2500 - 19000000 TZS

Description
Kyakailabwa, bukoba
PS

2500 - 19000000 TZS

Description
Bukoba Mjini, Tanzania

Inafanyaje kazi

Kupitia bidhaa, wanunuzi wanakuwa na uhakika kwamba pesa zao zitatumwa kwa muuzaji mara tu watakapopata bidhaa au huduma waliyolipia. Pia wauzaji wanakuwa na amani, wakijua wanafanya biashara na wateja ambao wameshafanya malipo yote. Pata uzoefu wa kununua na kuuza bila wasiwasi.

Tafuta Bidhaa

Unaweza kutumia sehemu ya kutafuta bidhaa, au ukatangaza kazi yenye maelezo ya bidha unayohitaji ili utumiwe ofa kutoka kwa wauzaji. Hakikisha umesoma maelezo ya muuzaji vizuri, ili kujua kama bidhaa inayouzwa ndiyo unayohitaji.

Fanya Malipo

Baada ya kuchagua bidhaa, fanya malipo kwa kutumia mitandao ya simu au kadi ya benki. Pesa zako zitatunzwa katika akaunti salama mpaka utakapopata bidhaa uliyolipia.

Ruhusu Malipo

Baada ya malipo kukamilika, muuzaji atakuletea bidhaa. Ukiridhika na bidhaa, utaruhusu malipo yatumwe kwa muuzaji.